Seti ya Zana za Umeme na Multimeter Dijitali & Soldering Iron

Seti ya Zana za Umeme na Multimeter Dijitali & Soldering Iron - 1
1 / 2

Maelezo Zaidi

Type
Tool Sets
Brand
Other
Condition
Brand New

Maelezo

• Seti kamili ya vipande 17 vya zana za umeme kwa matumizi ya kitaalamu na DIY. • Inajumuisha multimeter dijitali na lead za kupima, soldering iron na solder, na voltage tester pen. • Ina zana muhimu za mikono: nyundo, adjustable wrench, combination pliers, side cutting pliers, wire stripper/cutter. • Ina screwdriver za usahihi na kubwa (flat & Phillips), seti ya Allen key, na cutter knife yenye blade za ziada. • Pia inajumuisha measuring tape na PVC insulation tape kwa kazi za umeme. • Yanafaa kwa mafundi umeme, mafundi, makanika, ukarabati wa vifaa vya elektroniki, na miradi ya DIY nyumbani.